CAF Champions League

Hawa tukiwabania hadi half time,tutawatoa
 
Dida anainamaje?? hvo au Ana tabia ya Martin Kadinda
 
Sasa mpira umebadilika....jamaa kama wametusoma tayari
 
Yanga nao wamekosa goli hapa. Dakika ya 29
 
Mpaka sasa kama Yanga hajafungwa Al-ahly kwishnei
 
Nafasi nzuri kabisa kwetu ila wamaliziaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…