CAF Champions League

natamani ndala mpigwe nyingi la sivyo hatutalala mtaani
 
yanga Leo wamependeza na ful njano ..na jezi zna majina
 
duh na kule FA CUP Man City 0 - Wigan 2 (ila bado early doors) mshindi anakutana na Arsenal Nusu Fainali
 
yanga wamekoswa koswa hapa,.
 
acheni longolongo mbona sioni game
 
Hamna kitu, mpira upo katikati ya uwanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…