Game limeshaanza Yanga wameshapata 1-0 ugenini Ngassa... Let' Twende
Ban linihusu ndala wakishinda hii game
Dk 7:Al Ahly0-0Yanga.Game limeshaanza leteni updates wakuuu mnaoangalia kwenye TV.
Mkuu jaribu kuwa mstaarabu kidogo,kama unaona huwezi kuchangia ni bora akaenda kukojoa alafu ukalale.
Acha kuleta utani kwenye mambo ya maana. Dakika ya nane, hakuna goli.
tbc one wanaonyesha mechi hii
HAHAA na invisible huwa anafanya kweli.....
Refarii katokea wapi??