Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
Ha ha ha ha ha...Mashabiki wa Yanga mnachekesha kweli...eti mpewe Raha na Yanga...msubiri stress tu......Na kama mkishinda uje mkuu...hakutakuwa na chenga
Kwani kwenye taarifa za kimataifa watasema yanga of manji au yanga from Tanzania?? Yanga ndio iliojitahidi kwa kuywa bingwa na wana stahili kuiwakilisha taifa..kama wamepewa nafasi hyo kwanini tusiungane kuiombea mema..Mkuu hilo litakuwa ni taifa lako peke yako..Yanga haijakabidhiwa bendera ya taifa na waziri wa michezo wala rais..Yanga haiiwakilishi nchi...inamwakilisha Manji na Bin Kleb
hhaaaaahahaaaa wewe ndio unatuchekesha
Naomba nikuulize swali. Tanzania inawakilisshwa na nani katika mashindano ya klabu bingwa 2014 barani Afrika?
Ha ha ha ha ha...Mashabiki wa Yanga mnachekesha kweli...eti mpewe Raha na Yanga...msubiri stress tu......Na kama mkishinda uje mkuu...hakutakuwa na chenga
Mungu saidia Yanga ifungwe na itoke kwa Aibu"wasilete maneno yao ya kufa kiume
ahaaahaaa..atatuwekea gundu bhana!Weka picha ya mkeo kwanza!!
Wenzio wanatoa ahadi za wake zao mpka sasa Yanga ikishinda nina wake wapya 6. Sasa mkuu toa na wa kwako nipate angalau wake 7.
mie nitakuwa nafatilia tu hapa JF muwe mnatupa updates tu
Link ya uhakika ni hii hapa Al Ahly SC vs Young Africans, Mar 09, 2014 â€" Live Stream, Score, Prediction
sioni tofauti kati ya hizi link!and they are all still dead!
tayari mikia wameshang'oa!Hizi link mnazotoa mbona hazioneshi kitu??
Wa kwangu sikupi ng'oooooo mkuu...endapo mtashinda kitu ambacho najua hamuwezi...utaishia kumuona akiwa naked katika safari yetu ya kutoka posta hadi kimara
Mkuu utakufa kwa kihoro leo. Matokeo ni 2-1.. We unajua haya matokeo yana -ve effect upande gani.