Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 5,364
- 9,239
Hii pepa n kama imevuja ...Simba 1 aly ahly 1
Yanga 3 Mamelod 1
Kitu ambacho Nina uhakika nacho n Yanga kushinda Kwa Bao 3 Kwa 1
Hii pepa n kama imevuja ...Simba 1 aly ahly 1
Yanga 3 Mamelod 1
Utabiri wako mkuu ni upiUtabiri wa humu ni kiboko, mtu akitabiri Yanga anashinda upande wa Simba anatabiri kupigwa....akitabiri Simba kushinda Kwa upande wa Yanga anatabiri kupigwa
Thiiimbaaaa anakula 3.Simba-AlAhly (0-0)
Mazembe-Luanda (0-0)
Esperance-ASEC (0-0)
Yanga-Sundown(3-0)
Yaani hapa mie ni kama mtu ana hiyo hiyo ela alafu umwambie a-bet.Utabiri wako mkuu ni upi
SIMBA 2:0 al ahly; yanga 1:3 mamelodiSimba 1-0 Al Ahly
Yanga 1-2 Masandawana
TP Mazembe 0-0 Petro de Luanda
Esperance 2-0 Asec
Twende kazi tupia wa kwako…
Mechi ya TP Mazembe ✅Simba 1-0 Al Ahly
Yanga 1-2 Masandawana
TP Mazembe 0-0 Petro de Luanda
Esperance 2-0 Asec
Twende kazi tupia wa kwako…
Hapo TP Mazembe mwendo wameshaumaliza, hao Jamaa kwenye makundi hawajafungwa hata goli moja.Mechi ya TP Mazembe ✅