CAF Champions League: Tupia utabiri wako wa weekend hii

Ninachofahamu SIMBA atadraw
Yanga atafungwa kiasi itaonekana SAFARI yake imeishia hapo

Ila game ya pili
Simba atakula nyingi CAIRO
while yanga ataonyesha maajabu makubwa SOUTH kwa kutinga nusu FAINAL kibabe
 
Back
Top Bottom