Cacico so sorry dear,God loved him most.

Katika hali ya kawaida ni jambo la kusikitisha lakini kwetu sisi waaminio tunasherehekea maisha ya babu kwani tunajua alipokwenda.
Nasi katika yote haya na tumshukuru Mungu, tumuombe atupe neema ya kutembea katika nuru yake ili siku atuitapo tufe tukiijua kweli na kujua tuendako.
Bwana alitoa na bwana ametwaa Jina lake lihimidiwe.
Dada cacico, poleni kwa msiba. (n btw, av missed u a great deal)
 
Last edited by a moderator:
REQUIEM' BABU: Pumziko la Milele umpe ee Bwana, Na mwanga wa Milele umwaangazie, apumzike kwa amani... Roho za waumini wapate rehema kwa Mungu, Wapumzike kwa amani. Amina
 
pole sana cacico sweet
araway leo umecoment we kijana moro hawajambo?

Alshahama Moro huyo. Siku hz kahamia usukumani Bariadi. Tayari amepata matege ya kisukuma... Hahahahaha
Narudi
 
Last edited by a moderator:
Pole sana cacico kwa matatizo yaliyokukuta. Jambo kuu na muhimu ni kumshukuru Mungu kwa kila jambo. Mapenzi yake yametimia.. Pia tuendelee kumuombea mama uponyaji wa haraka ili tuungane naye katika uzima.. Pole sana cacico, Get well soon mama cacico. R.I.P Babu yake cacico..
Soma kwa imani biblia yako katika 1 Wathesalonike 4 :13-18
 
Last edited by a moderator:
Alshahama Moro huyo. Siku hz kahamia usukumani Bariadi. Tayari amepata matege ya kisukuma... Hahahahaha
Narudi

usiniambie kuwa araway kahama moro almost four years sijamuona hata simu hakuna looo nimemmisije!
 
Last edited by a moderator:
OMG!!!!

RIP my grandie in law!

Pole sana my love cacico. Navokwambia pole I know unajua I mean it from the bottom of my heart!
 
Last edited by a moderator:
nahisi nakufahamu mkuu. Anyway.... maisha lazima yasonge mbele. Pamoja sana!
 
kumbuka kumuweka mama yake cacico kwenye sala manake anaumwa sana halafu sasa kafiwa na baba yake mzazi. hebu fikiria tu haya maisha ya kifo kweli hakina huruma hata kidogo.

This is so sad, pole sana cacico, we are holding you and your family close to our heats in prayers at this time.... Mungu awajalie familia faraja ya pekee
 
Last edited by a moderator:
:confused2::confused2::confused2::confused2:

kwanini???

umesahahu kwamba babu alikuwa nyumban kwa mama cacico lakini hapa mjini cacico anaye mjomba wake ambaye ni mtoto mkubwa wa kiume wa babu hivyo walikuwa bado hawajaamua msiba uwe wapi. lakin jana wamelala kwa mama cacico.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mrs asprin kwa msiba. Tuko pamoja.

naona mwaka huu umeamua kuja na staili mpya. njoo mwadabishe mwanangu mmoja ambaye naona anataka kunifanya niwe mama makelele humu ndani.
 
kesho tuwasiliane ili kujua msiba utakuwa BOKO ama TEGETA.

:confused2::confused2::confused2::confused2:
kwanini???

umesahahu kwamba babu alikuwa nyumban kwa mama cacico lakini hapa mjini cacico anaye mjomba wake ambaye ni mtoto mkubwa wa kiume wa babu hivyo walikuwa bado hawajaamua msiba uwe wapi. lakin jana wamelala kwa mama cacico.
Hapana cha kusahau, kilichonishangaza ni uhusika wa eneo la Boko kwenye huu msiba. Ni hicho tu mama.
 
Hapana cha kusahau, kilichonishangaza ni uhusika wa eneo la Boko kwenye huu msiba. Ni hicho tu mama.

na ndio maana nimekujibu hivyo manake nilijua unawaza hivyo. hope umeelewa kwann boko ila sijajua boko gani pengine basi haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…