Pole sana kwa msiba, nipo nje kidogo ningekuwa bongo ningefanya juu chini niwemfariji wako kipindi hiki kigumu. Mungu alito Mungu ametwaa jina lake lihadimiwe
cacico i don't want to imagine how difficult it is for the loss of your beloved grandpa.
so far knowing the condition of our lovely mom and now she is facing this its hard to believe.
But what should we say our dearest??
You loved him but God loved him most.May his soul rest in eternal peace.
cc Asprin, Mtambuzi, Jiwe Linaloishi, Bishanga, Paloma, zion daughter, Madame B, Vin Diesel, AshaDii,, Liverpool fc Kaizer, Ruttashobolwa, Mkirua, Superman, KakaKiiza, amu, BAK
BC wana jamvi wote
Ana hali ngumu sana huyu mwenzetu hali hii ilinikuta mimi tarehe 31/12/1994 pale ambapo wazazi wangu walipata ajali mbaya sana ya gari ihumwa dodoma walipokuwa wanatoka kula krismas rombo ambapo mama yangu mzazi alifarik hapohapo na baba yangu kupata majeraha mabaya sana yaliyomfanya akae ICU for 2 weeks, tulienda kumzika mama yetu wakati baba yetu hafahamu kama mke wake mama yetu kafariki. ilikuwa changamoto kubwa sana katika maisha yangu na mimi ndio nilikuwa nimemaliza drs la 7 tu. Baadae baba yangu alipata nafuu na kutaarifiwa msiba wa mama yetu na alipopta nafuu alikwenda kuhani kaburi.sala zako ni muhimu sana kwa cacico kwa wakati huu kuliko wakati mwingie wowote. muombee sana mama yake mzazi anayeumwa kwa muda sasa na leo hii mauti ya baba yake mzazi imemkutia nyumban kwake.
hapo ni babu na sio baba.Ana hali ngumu sana huyu mwenzetu hali hii ilinikuta mimi tarehe 31/12/1994 pale ambapo wazazi wangu walipata ajali mbaya sana ya gari ihumwa dodoma walipokuwa wanatoka kula krismas rombo ambapo mama yangu mzazi alifarik hapohapo na baba yangu kupata majeraha mabaya sana yaliyomfanya akae ICU for 2 weeks, tulienda kumzika mama yetu wakati baba yetu hafahamu kama mke wake mama yetu kafariki. ilikuwa changamoto kubwa sana katika maisha yangu na mimi ndio nilikuwa nimemaliza drs la 7 tu. Baadae baba yangu alipata nafuu na kutaarifiwa msiba wa mama yetu na alipopta nafuu alikwenda kuhani kaburi.
Na amini mwanajamvi mwenzetu yupo kwenye wakati mgumu, namshauri apige moyo kondo na amini kwamba Mungu yupo na ndiye mapangaji wa yote.
Nikiwa kama Padri Kivuli, namuombea kama ifuatavyo (padri kivuli maana yule ambaye alisoma seminari lakini hakufanikiwa kupata daraja la upadri, aliishia njiani).
Ee mwenyezi Mungu nakuomba umwangalie mwenzetu kwa jicho la huruma,wakati huu ambapo anahuzunika kwa kumpoteza Baba yake ,nakuomba uumjalie mama yake ambaye pia ni mgonjwa aweze kupata nafuu na kupona haraka, [Kwa kuwa ndiwe uliye mkuu, Wewe ndiye mfanya miujiza, Ndiye Mungu peke yako. Ee BWANA uyasikie maombi yangu; Uisikilize sauti ya dua zangu (Zab 26)] Amina