...... cacico.... Come this way baby....!!

Ahsante, naomba ukaniitie na sakapal aje anigongee maLike hapa.

Mwambie akinigongea like kwenye hii yuziful post ntapata nafuu...., Likes zake ni dawa yangu mwambie kabisaaaaa...


jamani dunia inamambo, naogopa kumwagiwa maji na ugomvi siuwezi mie hapo kwenye kukutibu hapo ndo pana utata hapo looh
 
jamani dunia inamambo, naogopa kumwagiwa maji na ugomvi siuwezi mie hapo kwenye kukutibu hapo ndo pana utata hapo looh
Afu unajua bado hujanigongea LIKE?

Hebu kanigongee mtoto wa mwanamke mwenzio kikojoleo changu kistuke kidogo
 
Asprin, haka katoto ulikachumbia kabla hakajazaliwa? Wewe kiboko, nakuandalia maandamano kama yale ya Wathari Maangai ya kupinga uhuru park isinyakuliwe na mafisadi!
 
Last edited by a moderator:
Leo mkoloni kaibiwa mwanzo mwisho! Mweeh!
Ila Erickb52 umemuonea. Yeye hapendi pombe kama wake za watu! Asipobemendwa hana raha!
Mkoloni kazidi kunionea bana... Sasa leo kaniachia uzibe acha nitumie kodi yangu vizuri

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…