cacico am sorry...............ma sweetheart.

yaani sasa hapo tumefanya cross multiplication ama? Nili mpm kumtuma aniombee msamaha jamami shostito lol mi na wewe tena>>>>>>
mwenzangu kizuri tushee! We kwa muda wako, na mi kwa muda wangu! Imekaaje hii??? Ooppsss shanga angu niwekee wallah, mwenzio bado kidogo ningeachika! Lol
 
mwenzangu kizuri tushee! We kwa muda wako, na mi kwa muda wangu! Imekaaje hii??? Ooppsss shanga angu niwekee wallah, mwenzio bado kidogo ningeachika! Lol

umeona eeh ! ndo mana mi luv you sana shostito msiri wangu.
 
tobaaaaaaaaaaaaaa........
Sio tu ku-pm, ana mlavu na mabusu juu
lalalalalalallalalalallala
nanoa sime yangu hapa....

Halafu Kaizer come this way.....

yaani mmesahau kwamba miye ndo nliyemtibia huyu mume wenu Asprin eeh!
 
Last edited by a moderator:


Here we go!! Pamoja kwa upendo.
 

aiseee! besteeeeee popote ulipo umeona hii???

dah! Kongosho mbavu zangu mwehhhh! ngoja wakusome wenyewe.

Khaaaaaaa............................!!
 
hakika u-rafiki mwema,couz issue ya msamaha ni noma! ubarikiwe mamito cacico. . . . gfsonwin, unajisikiaje baada ya kusamehewa?
 
Last edited by a moderator:
mmmh!! gfsonwin ntake radh mi ni mdada mkubwa!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…