Hope baadaye utakuwa na manufaa.......si unaona cacico anavyoringa kujitokeza
Cacico plzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz naomba umsamehe gfsomwin. Kufanya kosa sio kosa ila kurudia kosa ndio kosa.
Tafadhali msamehe machozi amedondosha mpaka amelegea.
Plzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
Kipipi yaani wewe badala ya kunisaidia ndo unautia utambi mafuta lol nsaidie shoga angu wa moyoni jamani..............nisaidie kusema naye anielewe
Yaani hizi ndo salam zako?
We umepatia kabisa.Kumbe unayajua masale aiseea!! Basi mpelekee, na kondoo nishampakia kwenye gari inayokuja kufuata magazeti ya keso alfajiri. mpokee pale Sinza Kijiweni. Ukoka utapata hukohuko. Akiendelea kubisha nijulishe najua cha kufanya, wala asikutese mwaya. Si unajua ni mwanangu wa kufikia!basi ndugu yangu PakaJimmy niletee huyo kondoo na sale na ukoka nimwombe samahani anisamehe. kaka nakuaminia utanisaidia hadi asamehe.
please pleeeaase Kipipi have mercy on me........jamaniiiii uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii nahitaj huruma yako nisaidie ma dear.
We umepatia kabisa.Kumbe unayajua masale aiseea!! Basi mpelekee, na kondoo nishampakia kwenye gari inayokuja kufuata magazeti ya keso alfajiri. mpokee pale Sinza Kijiweni. Ukoka utapata hukohuko. Akiendelea kubisha nijulishe najua cha kufanya, wala asikutese mwaya. Si unajua ni mwanangu wa kufikia!
Inakuwaje unakuwa careless kwa rafiki yako? Ebu niconvice......(Kipipi leo full mnato) LOL
princess enny siyo kuuchuna, nilikuwa busy na hiyo issue ambayo ndiyo haswa tunaiongelea hapa! NIMEMSAMEHE KWA MAPANA NA MAREFU! LUV U ME DADA gfsonwin! mwahhhhhh!Cacico ulivyouchuna!!!!!!!!! unataka gfsonwin alie machoz ya damu?? njoo bas useme I HAVE FORGIVEN YOU MY GFSONWIN