mkuu fanya utafiti tu ndio utajua kwanini tunasema za mazabe.
Yaani DSTV walipe milions of dola halafu wewe ununue dish na recever kama mteja wa kawaida kisha uanze kuwasambazia watu kwa malipon hiyo unaona ni sawa? Ukiona hivyo wameamua kupotezea kibongo bongo
Jiulize kwanini bongo hazijasambaa zipo chache kwa wahindi na bei ni juu
Ni DSTV pekee ndio wenye haki ya kuonyesha vipindi vyao kama spersports zoten mm, mnet nk wengine wezi tu labda waonyeshe chaneli za bure

ACHA KUBISHA BISHA KITU USICHOKIJUA!TABORA KUNA CAMPUNI 2 ZA CABLE ....KWA MWEZI 10000 wunapata raha kuliko mwenye DSTV!hakuna chanel nisiyopata!TENA MIMI NATUMIA BUREEEE HUU MWAKA WA 3 TOKA NIANZE KUTUMIA BUREE!NINE HACK MAWIMBI YAO!
Kwa sababu Dar imezungukwa na mafisadi (CCM),ndio maana wanawanyonya sana hao DSTV.
Kaka acha kukumbatia ujinga.Hakuna kisichowezekana,tafuta hayo maujanja badala ya kubisha bila facts mi ninayo hiyo receiver na napata hizo channels for free.DSTV channels zote ziko kwenye satellite ya Eutlasat W7Mkuu unaleta hadithi wewe. Hakuna kitu kama hicho vinginevyo watu wange fanya hivyo kuliko kulipishwa midola ya DSTV kila mwezi
DSTV walifanya msako kwa kila mkoa especially kwenye cable, na kupiga faini na kupiga mkwara dhidi ya kuonesha channel zao kwenye cable, hivyo cable nyingi hakuna Channel za DSTV. Kutokana na watu wanavuta cable hili wafaidi mpira na vipindi mbali mbali wakatafuta mdadala ambao ndio hizo channel za kiarabu na pili wanaziweka siku ya mpira na wanakuwa na moderate baada ya hapo wana switch off hicho kingamuzi na kuendele na channel nyingine.Halafu hizo cable ziko pouwa sana, kwam fano pale mtwara kuna huyu jamaa Abdul Shaban wa pale mtwara guest ana kitu inaitwa mtwara cable yaani channels zote a mipira ya ulaya especially EPL utaziona labda sionyweshe muda mmoja. Na huduma zake kuvutia ni 30000 na 10000 monthly, this is better than Star Times, na mara nyingi mipira inaonyeshwa through channels za kiarabu