Msaada: Settings za King'amuzi na TV

Msaada: Settings za King'amuzi na TV

Darren2019

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2019
Posts
1,111
Reaction score
2,412
Asalam aleykum, heri na iwe kwako.

Naomba kuelekezwa settings za Azamtv decorder zinavyotakiwa kuwa pamoja na TV (flat Samsung led tv).

Nyaya zote zimechomekwa sehemu husika ila dish liliyumbishwa na upepo channels zikapotea.

Nataka nikalizungushe angalau kwa muda wakati nkimsubiria fundi alikaze.

Nakwama kwenye source km ni STB au aerial? AV au HDMI? Cable, network or terrestrial? Digital or analogue? Automatic au manual?
Mimi siyo mtaalamu ndio maana nimeandika kilayman ila napenda teknolojia hivyo nikieleweshwa naelewa upesi.

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom