Nina iphone X kwa kawaida huwa nachaji dk 30 simu inakua 80%
Bahati mbaya nimepoteza cable yake nimebaki na charger tu.
Nimepita kariakoo nikanunua cable kwa sh 5k.
Cha ajabu sasa hiyo cable ndani ya dk 30 simu inasoma 20%, nahitaji masaa ya kutosha kujaza simu
Nakwama wapi wadau.