Kaka acha tu,nna hasira kufanya uwaziri majaribio..Nkamia ataban magazeti mengi,Mwigulu umeshataja atakayofanya but uteuzi wake ni COMEDY tosha,Malima anapozwa ktk nafasi iliyomletea baba yake shida,Mbona mizigo imebaki? Lazaro Nyalandu yeye anakwenda kumalizia kuhujumu utalii..long live KAGASHEKI.
Hii nchi inaendeshwa kihuni sana..
Wizara nyeti kama hiyo huwezi ukamweka mtu kama Mwigulu. Sina ubaya na Jakaya lakini hapo ameweka siasa mbele zaidi ya weledi
I agree. Mwigulu Nchemba's choice for Naibu W.F. is a bad joke'
Mimi nashukuru amewekwa, na atakuwa anapewa nafasi kubwa ya kujibu maswali ya wabunge, tutarajie matusi.
yeyote anayetetea huu uteuzi lazima ana maslahi binafsi, uteuzi wa ajabu kabisa!
yeyote anayetetea huu uteuzi lazima ana maslahi binafsi, uteuzi wa ajabu kabisa!
Watu mlio wengi humu mnaongea utumbo mtupu hivi mwigulu mnaweza kumfananisha na mavilaza wenu kama wakina Sugu , Lema, Mbowe nk Mwigulu ni jeshi la mtu mmoja na nikiongozi supavu na mwelevu acheni kuongea utumbo humu ndani wakati elimu zenu hata form 4 hamjafika
Kamundu,
..wako wa-Tz wengi tu ambao ni competent wangeweza kuteuliwa kutumikia wizara ya fedha.
..nadhani JK mwenyewe haamini kama wizara ya fedha ni muhimu kiasi hicho kulazimisha kuteua watu wenye solid track record kutumikia pale.
NB:
..halafu kitendo cha waandishi wa habari kucheka na kuguna kuhusu baadhi ya teuzi za Raisi, kinaleta taswira isiyo nzuri kwa mteuliwa, washauri wa Raisi, pamoja na Raisi mwenyewe.
cc Mchambuzi, Mdondoaji, NasDaz
Kwa mawazo yangu uteuzi wa naibu waziri wa Fedha Nchemba hauna msingi. Kwa mawazo yangu sijawahi kusikia huyu waziri akiongea sera yeyote ya maana ya Fedha, wanasema mchumi lakini hajawahi kuongea strategy yeyote hapa ya maana, hajui vizuri uchumi wa dunia unavyoenda na ni mwanasiasa zaidi kuliko kiongozi na hata weza kufanya maamuzi bila kuangalia manufaa ya CCM pekee na jinsi ya kudidimiza wapinzani. Kiongozi ambaye anaweka upelelezi wa kutafuta mahawara wa viongozi wa upinzani si kiongozi wa kutegema kuleta maendeleo. Mimi ningeshauri kwenye sehemu za Fedha, Nishati na Madini tutafute wataalamu wenye uzoefu kwenye hizo sehemu na wamefanya kazi na kujua dunia inavyoenda. Vilevile kwa safu ninayoiona hapa ni bora tungetafuta diaspora mwenye uzoefu kwenye mambo ya fedha na amawahi kuwa kiongozi na kutuongoza.
It seems your Brainy. Definitely he is there as vehicle to pass the fund for 2015 election.Mahususi kuandaa fungu la 2015.....
Wizara nyeti kama hiyo huwezi ukamweka mtu kama Mwigulu. Sina ubaya na Jakaya lakini hapo ameweka siasa mbele zaidi ya weledi
Kamundu,
..wako wa-Tz wengi tu ambao ni competent wangeweza kuteuliwa kutumikia wizara ya fedha.
..nadhani JK mwenyewe haamini kama wizara ya fedha ni muhimu kiasi hicho kulazimisha kuteua watu wenye solid track record kutumikia pale.
NB:
..halafu kitendo cha waandishi wa habari kucheka na kuguna kuhusu baadhi ya teuzi za Raisi, kinaleta taswira isiyo nzuri kwa mteuliwa, washauri wa Raisi, pamoja na Raisi mwenyewe.
cc Mchambuzi, Mdondoaji, NasDaz
..unachekesha.
..tafuta CV za mawaziri na manaibu waziri wa fedha ktk nchi za Rwanda, Kenya,Uganda, South Africa, ndiyo utaelewa kwanini baadhi yetu tumekatishwa tamaa na wateule wa JK ktk wizara yetu ya Fedha.
Mimi nashukuru amewekwa, na atakuwa anapewa nafasi kubwa ya kujibu maswali ya wabunge, tutarajie matusi.