C.u.f mumeo c.c.m yupo hoi arumeru!

C.u.f mumeo c.c.m yupo hoi arumeru!

Arumeru c igunga,no mosqu and vibandiko.ila ndoa yao ipo fresh zenji
 
Chadema nao walikwenda kuomba ndoa Ikulu wakitaka kuwa mke wa pili wa CCM imeashaje hii? Posa ilikataliwa?
 
Siwezi kuamini leo C.U.F kumwacha mwanandoa mwenza C.C.M anakufa Arumeru.nakushauri uende kumsaidia kama IGUNGA.

Ikiwa Arumeru watachomoka basi chaguzi zote mshindi atakuwa CCM.
 
Munatafuta kwa kutokea? Kamsaidieni katibu wenu na kimada wake, full ufisadi!
 
Siwezi kuamini leo C.U.F kumwacha mwanandoa mwenza C.C.M anakufa Arumeru.nakushauri uende kumsaidia kama IGUNGA.
Du! CUF kweli ni WANYONGAJI wa democrasia. Week iliyopita walisidiwa na CCM na kutumia mbinu yao (CCM) ambayo ni ya kununua watu ili wahudhurie mikutano na Lipumba akapokelewa kwa mbwembwe ili waonekane wanapendwa na kuaaminisha wa TZ kuwa nao ni kama CDM.
 
Chadema nao walikwenda kuomba ndoa Ikulu wakitaka kuwa mke wa pili wa CCM imeashaje hii? Posa ilikataliwa?

Utakuwa na matatizo tena makubwa maana hata hujui kilichoenda kusungumzwa huko
 
hey who told u kuwa cdm wanalead arumeru? lets wait iyo cku april 1 tena ni ckukuu ya wajanja tutajua nani mbabe wa mwenzie ccm or cdm
 
Chadema nao walikwenda kuomba ndoa Ikulu wakitaka kuwa mke wa pili wa CCM imeashaje hii? Posa ilikataliwa?
avatar25401_1.gif
nikitaka kukutukana naangalia avata yako.
 
Back
Top Bottom