BYSANGE nitafute tutete

BYSANGE nitafute tutete

mshana jr na bysange wikendi huwa naratiba ngumu sana hata mda wa kupita mitaa ya jf inakuwa kazi kweli kweli lakini sio kwamba nafichwa wakuu wa kazi ha!ha!
 
hahahaaaaaaaaa!we acha tu mkuu ukikutana na hizi neema unaweza shindwa kujua leo au kesho ni siku gani
cc NAPITA
Mimi kama nampa huyo wako namwambia Mama watakaosema nimerogwa waseme, mimi shughuli zote nitafanya kuanzia kusafisha nyumba, kumfulia hadi nguo za ndani, kupika sijui ila hapo NTAjifunza halafu nakuwa napika mimi, mwaka mzima ikiwezekana hata miaka mitatu sitoki nje Twarambana tu.

NAPITA
unaweza kufanya kama mimi ukimpata kam huyo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom