Bye.......King'asti

Bye.......King'asti

Na kweli, asante kwa kunipa kakako aisee. Manake ningedodaje? Hizi slacky slacky hapan taka. Nataka anaejua kukata mawimbi kuliko shark. Kitu nyangumi lol
hahaha! Wewe kweli umepinda.. Shida yako uone tu nguvu zake? Kama ni hivo rudi haraka sana kwa kaka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom