bcsolution
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 394
- 177
- Thread starter
-
- #21
hee! wana mambo. haya na mie najiunga sana cha wiki, wakikiondoa......
Mimi niliwawekea mgomo voda tangu mwaka jana sijaweka vocha, napokea tu kwa sababu ya upuuzi mdogo hivi hivi (tangu kipindi kile walipoweka dakika za mgao) . Na nilikuwa naweka 15000 kwa mwezi kwa hiyo za miezi yote hii wameshazikosa na hawanipati ng'o nipo baba lao.
Nimekuwa nikijiunga kifurushi cha 15000 kila mwezi . Sasa tigo wamekiondoa kwenye menu yangu sasa kuna cha 50.000 na cha 100.000 . Nimewapigia kuwauliza mbona sioni kifurushi cha 15000 ,nikaambiwa kimeondolewa kwangu kwa kuwa nimeonekana najiunga nacho sana .. kwa iyo nimeonekana tajiri sana ...Airtel nakuja kwenu nipokeeni..bye bye tigo
Yani kama ulikuwepo nilimfokea huyo jamaa wa tigo ..hasira zote nikammalizia yeye...yeye akanijibu kimeondolewa kwako kwa kuwa unajiunga nacho sana...
mie walinijibu kijeuri kabsa system imeonyesha unaeka sana vocha nyingi hivyo ndo imekuondolea nkamwambia hyo system itawaamuliaje watu aina ya bundle akasema ndo hivyo kisha akamalizia una jngne tukusaidie
Afu nimejiunga cha mwezi yani speed hakuna. Vodacom kudawnload movie nilikuwa nachukuwa 1hr ti tayari ila tigo cku nzima
Mkonga wa taifa + mkonga wa tembo my foot.
Hivi ule mkongo sijui mkonga uliishia wapi? Maana ulikuja na mbwembwe kweli.
Maana yake nini?
Ule mkonga umesambaa sana mkuu, ila matunda hatuyaoni, sijui wanashindwa nini kufunga wireless dar nzima wakati mkonga upo pale bure kabisa