Mzenji anayeishi bara anaelewa wanavyopendelewa.Sijawahi ona mzenji mwenye akili timamu
Siku nzima unashinda madrasa unafikiri akili itawaza nini sasa?ππMzenji anayeishi bara anaelewa wanavyopendelewa.
Hao wa Mchambawima bure kabisa.
Ikitokea siku nyinyi kupe mkajitenga na nchi yetu ya Tanganyika, haki ya nani nitafanya sherehe.WaTanganyika mnatupenda sana ila ALLAH anatupenda zaidi ,tutakieni safari njema katika safari yetu hii ya kuinusuru nchi yetu kipenzi ya Zanzibar ,Hadi sasa asilimia 85 inazungumza juu ya kuinusuru Zanzibar.
Je Raisi Samia atahitaji RADHI za Mwalimu Nyerere au Maalim Juma Duni ?
Baadhi ya kauli zinazosikika Zanzibar zikimzindua Bibi SSH.
Makusanyiko ya mikutano ya Zanzibar ambayo kashikashi zimeanza ni balaa mikutano rasmi haijaanza wananchi wameanza kuitikia wito katika JIHADI hii ya kuinusuru nchi yao.
Kwa namna yoyote ile Tanga haiwezi kuungana na watu wavivu, kupe, na wabinafsi kama Wazanzibari. Labda nyinyi watu wa Tanga mjini mnaendana na hao ndugu zenu! Ila siyo sisi Wasamba.Pambaneni halafu mje mchukue Tanga iwe sehemu ya zenji , tutafika mbali sana huku bara tunatengwa ..Tanga kuna eneo kubwa sana mpaka usambara huko.
Endelea kujidanganya ,maana ni watu wavivuu mpaka wanakutegemea wewe ...Punguza ujinga pambana na Bumbuli yako ..Mimi ni msambaa ila nawependa wanzeji kuliko race yoyote ile ya Tz.Kwa namna yoyote ile Tanga haiwezi kuungana na watu wavivu, kupe, na wabinafsi kama Wazanzibari. Labda nyinyi watu wa Tanga mjini mnaendana na hao ndugu zenu! Ila siyo sisi Wasamba.
Nyinyi msioshinda madrasa mna kipi cha maana? Baadae uanze kulalamika Waislam wana udini ila kejeli kwa Waislam umeanza mwenyewe.Siku nzima unashinda madrasa unafikiri akili itawaza nini sasa?ππ
WaTanganyika mnatupenda sana ila ALLAH anatupenda zaidi ,tutakieni safari njema katika safari yetu hii ya kuinusuru nchi yetu kipenzi ya Zanzibar ,Hadi sasa asilimia 85 inazungumza juu ya kuinusuru Zanzibar.
Je Raisi Samia atahitaji RADHI za Mwalimu Nyerere au Maalim Juma Duni ?
Baadhi ya kauli zinazosikika Zanzibar zikimzindua Bibi SSH.
Makusanyiko ya mikutano ya Zanzibar ambayo kashikashi zimeanza ni balaa mikutano rasmi haijaanza wananchi wameanza kuitikia wito katika JIHADI hii ya kuinusuru nchi yao.
Naunga mkono hoja, tena kwa mapato yanayotoka Tanganyika tu.Kama Znz wakitulia vizuri na wakaacha siasa za ugomvi miaka 10 ijayo. Serikali inaweza kusomesha watoto wao kutoka Nursery/Vidudu mpaka University bure kama Namibia, hii ikiwa ni pamoja na kulipa wasiokuwa na kazi fao la kutokuwa na ajira. Hii ni kama watasimamia rasilimali zao vizuri, kubana mianya ya wizi, kupunguza matumizi yasiyo ya lazima na kuongeza uwekazaji hasa PPP. Tanganyika itakuwa bado sana maana huku tuko wengi sana na makandokando ni mengi.
Wewe utakuwa ni Mdigo bila shaka. Na ndiyo maana unaelewana na hao majirani zako wavivu na wapenda vya bure.Endelea kujidanganya ,maana ni watu wavivuu mpaka wanakutegemea wewe ...Punguza ujinga pambana na Bumbuli yako ..Mimi ni msambaa ila nawependa wanzeji kuliko race yoyote ile ya Tz.
sisi na zenji ni race moja nyie nendeni mnapotaka ,hii ni asili yetu tutailinda.