๐—•๐—ฌ๐—˜ ๐—•๐—ฌ๐—˜ ๐—ค๐—ฅ ๐—–๐—ข๐——๐—˜ ๐—š๐—ข๐—ข๐—š๐—Ÿ๐—˜ ๐—œ๐— ๐—˜๐—œ๐—ข๐—ก๐——๐—ข๐—” ๐Ÿ‘€

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,349
Reaction score
2,757


Google imeanza mchakato wa kuondoa Mfumo wa kutumia Qr Code kuweza kuunganisha simu na kompyuta kwenye Google Messages for Web .



Zamani ukienda kwenye Messages for Web, ulipata QR Code kwenye kompyuta: Simu โ†’ Messages โ†’ Device Pairing โ†’ Scan QR Code โ†’ Scan QR kwenye PC sasa mambo yamebadilika bhana.



Badala yake, Google inaelekeza watu Kuanza kutumia Google Account kufanya pairing ya Messages kati ya simu na kompyuta. ๐Ÿ’ป๐Ÿ“ฒ

Mabadiliko haya yanaanza kusambazwa hatua kwa hatuaโ€”kwa hiyo usishangae kama QR Code bado ipo kwenye simu yako. ๐Ÿ‘€

Unaionaje mabadiliko haya tuachie maoni yako ๐Ÿ‘‹

#bongotech255
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ