macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,220
- 60,269
Apple products nyingi ni kama exclusive. Bei zake ziko juu na huzikuti sehemu za uswekeni. Wana focus kwenye ubora na uimara. Mimi kwenye simu hutaniuliza mara mbili, uchaguzi wangu siku zote ni iPhone.nimejaribu kumfuatilia huyu bwana mshana jr stories zake sometimes zinachekesha saaana,Anyways kaka hakuna simu unayoweza ilinganisha na iphone hapa duniani ndio maana kuna majina mawili iphone and smartphones pia kuna mac os and PC
iphone has the special user kaka ndiomaana utaona wanatengeneza device million moja then wanadiscontinue hio generation wanaamia nyingine kaka,Kabla ya kuandika vitu uwe unafikiri kwanza then unafanya criticalanalysis kwa kile unachotaka kukiongea
apple devices were not meant for everyone they were meant for special people kaka as the same as the rolex watches kaka
my regards
Unapojaribu kum downgrade mtu halafu ukashindwa basi unaishia kujikanyaga tuu... Hizo simu unazosema they were not meant for every one zisingezagaa mpaka vichochoroni... Hizi business slogans zisiwabrainwash kiasi hiki....nimejaribu kumfuatilia huyu bwana mshana jr stories zake sometimes zinachekesha saaana,Anyways kaka hakuna simu unayoweza ilinganisha na iphone hapa duniani ndio maana kuna majina mawili iphone and smartphones pia kuna mac os and PC
iphone has the special user kaka ndiomaana utaona wanatengeneza device million moja then wanadiscontinue hio generation wanaamia nyingine kaka,Kabla ya kuandika vitu uwe unafikiri kwanza then unafanya criticalanalysis kwa kile unachotaka kukiongea
apple devices were not meant for everyone they were meant for special people kaka as the same as the rolex watches kaka
my regards
Apple unazoona zimezagaa mtaani ni used na refurbished za europe na china. Nenda kaulizie I phone SE saivi mtaani kama utapata mpya nipm!Unapojaribu kum downgrade mtu halafu ukashindwa basi unaishia kujikanyaga tuu... Hizo simu unazosema they were not meant for every one zisingezagaa mpaka vichochoroni... Hizi business slogans zisiwabrainwash kiasi hiki....
Kuna simu kama Thuraya ambayo ni water proof na ni satellite ulizia bei yake uone... Bei yake si chini ya USD 2000 hizo ndio simu unazoweza kusema they were not meant for every one... Tembea uone
Jr[emoji769]
Kama kuna copy na zimezagaa mitaani huwezi kuziita exclusive tena! Nioneshe Thuraya hata refurbished moja tu au niambie ni wangapi wanaimiliki hapa bongoApple unazoona zimezagaa mtaani ni used na refurbished za europe na china. Nenda kaulizie I phone SE saivi mtaani kama utapata mpya nipm!
Tatizo lako hujui Simu. Thuraya sio simu kwa matumizi yetu haya ya kuchat whatsapp na Jamii forumsKama kuna copy na zimezagaa mitaani huwezi kuziita exclusive tena! Nioneshe Thuraya hata refurbished moja tu au niambie ni wangapi wanaimiliki hapa bongo
Jr[emoji769]
Sijui simu lakini Thuraya ni simu... Usijichanganye... Ndio hapo sasa ufahamu kitu kikiitwa exclusive nini maana yake... Halafu kumbe wewe unatumia simu kwa kuchat na WhatsApp tuu duu....Tatizo lako hujui Simu. Thuraya sio simu kwa matumizi yetu haya ya kuchat whatsapp na Jamii forums
Mimi natumia simu zaidi ya hivyo ulivyoorodhesha wewe, nilikuwa najaribu kukuelewesha tuu..hoja yangu ni kwamba I phone siyo simu cheap kama wewe unavyotaka kuwaaminisha wadau hapaSijui simu lakini Thuraya ni simu... Usijichanganye... Ndio hapo sasa ufahamu kitu kikiitwa exclusive nini maana yake... Halafu kumbe wewe unatumia simu kwa kuchat na WhatsApp tuu duu....
Simu ninayotumia mimi ni tracker, ni remote, ni bank ni almost kila kitu... Mnataka mmiliki iPhones halafu matumizi hamyajui
Jr[emoji769]
Nimeanza kutumia I phone tangu Model ya IPhone 3G[emoji23][emoji23][emoji23]haya asante
Jr[emoji769]
XAO ndio kitu gani???iPhone NDIO simu zangu Zina PRIVACY YA HALI YA JUU SANA
MWIZI ANAWEZA IBA SIMU YANGU ILA NIKAIZIMA BILA YY KUFANYA CHOCHOTE IPHONE IS MY FAVORITE
CHINA WANALINDA SOKO LAO SASA KAMA WATU HATA WHATSApp HURUHUSIWI KUWA NAYO KWENYE SIMU NI WICHAT TU
CHINA HAKUNA GOOGLE WANASEARCH ENGINE XAO
[emoji23] [emoji23] [emoji23] imebidi nicheke tu. Ingizo jipya hiloNdio simu gani hizi samngis?
Appleholic😁😁IPhonemania hakuna shida
Jr[emoji769]
utaongea yote but kuna iphone na smartphone pia kuna mac na PC these apple devices they were not meant for everyoneKama kuna copy na zimezagaa mitaani huwezi kuziita exclusive tena! Nioneshe Thuraya hata refurbished moja tu au niambie ni wangapi wanaimiliki hapa bongo
Halafu ni iPhone sio l phone
Jr[emoji769]
you are welcome brotherThat's all you can comment... Thanks anyway for your time
Jr[emoji769]