macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 28,230
- 56,860
Apple products nyingi ni kama exclusive. Bei zake ziko juu na huzikuti sehemu za uswekeni. Wana focus kwenye ubora na uimara. Mimi kwenye simu hutaniuliza mara mbili, uchaguzi wangu siku zote ni iPhone.nimejaribu kumfuatilia huyu bwana mshana jr stories zake sometimes zinachekesha saaana,Anyways kaka hakuna simu unayoweza ilinganisha na iphone hapa duniani ndio maana kuna majina mawili iphone and smartphones pia kuna mac os and PC
iphone has the special user kaka ndiomaana utaona wanatengeneza device million moja then wanadiscontinue hio generation wanaamia nyingine kaka,Kabla ya kuandika vitu uwe unafikiri kwanza then unafanya criticalanalysis kwa kile unachotaka kukiongea
apple devices were not meant for everyone they were meant for special people kaka as the same as the rolex watches kaka
my regards



