Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Nakuachia mtoto mmoja anajina la utajiri tu
sijamaanisa kuwa niliowataja wote ni C.C.B... Nimetaja watu randomly
Mkuu uwe na majukumu mema huko uendako na wakati maridhawa...
Teh teh teh...kumbe anasave ndoa...
huyu Tonkyp kila demu hapa JF Anadandia tu...
Ni utamaduni wetu kupiga hodi pia kuaga wakati wa kuondoka...Dah, natamani sana kuendelea kuwepo CC na JF kwa ujumla. Lakini majukumu yameniandama, lazima nisepe kwa muda... Nitawamiss sana ndugu zangu noahism Leah Brown mimisa na wengine wengi... Tuombeane uzima tu.. See you on March ndugu. Bye Bye CC Bye bye JF.
copy to All C.C.B Members. charminglady Madame B watu8 Evelyn Salt Paloma Arushaone etc etc
Mwenyekiti usiendeeee kwani bado twakupenda.... Hakuna wa kuziba pengo lako mkuu!!!! so :sad: :sad:
Samahani Rich woman sio demu nitakupeleka mahali pasipo julikana ukiendelea kumuita ivyo.
mke wangu nampenda sana...kama mchagga na shilingi