Nilipe nisepe
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,182
- 2,640
Tatizo nashangaa kutwa tunawajadili hawa watu wanaopiga mil 18 kila mwezi na posho sizizo na ukomo!!
Ni muda sasa na sisi tuaze kujadili matatizo yetu sisi pangu pakavu .!
nashangaa
Ni muda sasa na sisi tuaze kujadili matatizo yetu sisi pangu pakavu .!
tiHakuna anaewaonea huruma km kula hela wapo watakaokula mpaka wakiwa kaburini walee waliowekwa peke yao peke yao yaan watazitafuna mpaka wakiwa wamefukiwa CHINI
nashangaa