Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
HakiyananiKwanini samia amemtema?
Wajumbe sio watu 😂😂😂
HakiyananiKwanini samia amemtema?
Ni kweli kabisa nathibitisha hiliLakini kuna mtu alikuwa bkb anadai kabadilisha mji kwa projects kibao
Yes. Bukoba imechange sana kwa kipindi hiki.Lakini kuna mtu alikuwa bkb anadai kabadilisha mji kwa projects kibao
View: https://youtu.be/bsMYAk6cWaE?si=889MVSvo7umML2Kd
Nape si alimuahidi angemsaidia kushinda uchaguzi maana yeye ni mjanja wa uchaguzi.
Imekuaje tena.?
Kwa hiyo kwa hiyo kwa hiyo!Byabato aliingizwa kwny siasa Kimkakati.
Byabato ndo kaconfirm kipara apotezewe na maza, aliwekwa nae wizara Moja Kimkakati ili kumspy.
Kipara na MOses walimuingiza kwny cycle Yao na kumuamini 100%, Kisha kawakaanga
Mkuu byabato kwao ni kamachumu, kasoma tumaini wameishi nshambya. So kakulia bukoba mjini mbonaAlikuwa anajisahau then hawa sio wazawa wa Bukoba Mjini hata kiswahili hajui kuongea
Alidanganywa na mojomba wake January.Lakini mboni alikua poa tu shida ni nini aligoma kua chawa akataka ajipige kifua mwenyewe wakati bila kua chawa km FA hutoboi