Byabato pole sana aisee !!

Byabato pole sana aisee !!

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
31,634
Reaction score
81,533
nilikuwa offline Ila nimepata taarifa yule Kijana anajiita Byabato katoswa na sisiemu.

Ikiwa kweli , namshauri arudi katika kazi ya zamani ya uwakili

Hilo jimbo la Bukoba mjini hata uwape nini Kama hawakutaki ,hawakutaki.
 
Nape ameshindwa kumsaidia?
 
H
nilikuwa offline Ila nimepata taarifa yule Kijana anajiita Byabato katoswa na sisiemu.

Ikiwa kweli , namshauri arudi katika kazi ya zamani ya uwakili

Hilo jimbo la Bukoba mjini hata uwape nini Kama hawakutaki ,hawakutaki.
aaaaa Wakili ni mwana ccm Haji ataacha kua mwana ccm
 
Byabato hajapoteza,

Anarudishwa makao makuu TISS kutumikia majukumu yake mengine
(probably idara ya ulinzi WA Raisi)

Maana Kabla ya kua uwakili, alikua kikosi Cha ulinzi WA makamu wa raisi (pindi maza hajawa Raisi),

Kisha akahamishiwa idara ya siasa, mambo ya nje kule TISS.

Kisha ndo akaenda kua wakili WA serikali kule bukoba
 
Hapo sawa maana ni good guy hana mbaya hii mtu wakolawaito?
 
Byabato hajapoteza,

Anarudishwa makao makuu TISS kutumikia majukumu yake mengine
(probably idara ya ulinzi WA Raisi)

Maana Kabla ya kua uwakili, alikua kikosi Cha ulinzi WA makamu wa raisi (pindi maza hajawa Raisi),

Kisha akahamishiwa idara ya siasa, mambo ya nje kule TISS.

Kisha ndo akaenda kua wakili WA serikali kule bukoba
Hivi hizi taarifa mna zitoaga wapi?
 
Ivi kuna haja gani ya kuwajadili hawa wabunge wakati hamna kitu wanachotusaidiaa zaid ya kula hela za bure wakuu??kwanin hata tunawaonea huruma kiasi hiki?
Hakuna anaewaonea huruma km kula hela wapo watakaokula mpaka wakiwa kaburini walee waliowekwa peke yao peke yao yaan watazitafuna mpaka wakiwa wamefukiwa CHINI
 
nilikuwa offline Ila nimepata taarifa yule Kijana anajiita Byabato katoswa na sisiemu.

Ikiwa kweli , namshauri arudi katika kazi ya zamani ya uwakili

Hilo jimbo la Bukoba mjini hata uwape nini Kama hawakutaki ,hawakutaki.
Bukoba huwa mbunge wanampenda mwanzo tu baada ya hapo hawamtaki hata alete maendeleo. Nilikuwa nawauliza kinachowafanya wamchukie wanadaie eti anaringa.
Wanataka mtu kama rwakatale aje tu akae nao anywe kahawa
 
Back
Top Bottom