Byabato hauwezi kushindana na Rais, kaa chini ujitafakari !.

Byabato hauwezi kushindana na Rais, kaa chini ujitafakari !.

Apollo tyres

Senior Member
Joined
Nov 16, 2024
Posts
134
Reaction score
363
Huyu Ndugu Byabato , anavyosema anaweka Mbunge anayemtaka anakuwa anamaanisha nini?

Je ikiwa yeye hakuwa Mgombea alipata kiburi wapi cha kusema Mimi "Naweka Mbunge ninayemtaka"

Naomba Ccm Kagera na Ccm TAIFA wafatilie hili Swala .
 
Huo ni uzushi, Kwan TAKUKURU haipo?? Imeshindwa kumkamata?.

Amegawa Hela Kwa Akina nani?.

Naona umetumia Pesa Kwa wajumbe, na bado wamekupiga chini, mamaeeee
 
Mwingine huyu
 
Attachments

  • VID-20250805-WA0004.mp4
    2.5 MB
Beer battle ndio nani, mbona kutajwa sana?.
 
Hilo sio jambo geni kwa CCM ...
 
Back
Top Bottom