Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Mwanachama wa ACT Selemani Bungala Maarufu kama Bwege anaeleza kuwa wakati mambo yanatokota kipindi cha Mbowe pale CHADEMA, Heche na wenzake walitaka kuhamia ACT Wazalendo lakini Zitto aliwakataa kwa sababu wangeendeleza siasa zao za maneno makali na hivyo kumuharibia kwa Rais ambaye alikuwa amemuahidi mambo mazito. Na hiyo ndiyo sababu ya Heche na Lissu kuendeleza mapambano ndani ya CHADEMA kumuondoa Mbowe kupitia uchaguzi
Je, ni mambo gani Zitto aliyoahidiwa au ndiyo huo ubunge wa Kigoma Mjini?
Soma pia >> GE2025 - Bwege amtaka Zitto ajisafishe la sivyo hatoaminika tena na ACT itakuwa chama kama Polepole anavyokisemaga
Je, ni mambo gani Zitto aliyoahidiwa au ndiyo huo ubunge wa Kigoma Mjini?
Soma pia >> GE2025 - Bwege amtaka Zitto ajisafishe la sivyo hatoaminika tena na ACT itakuwa chama kama Polepole anavyokisemaga