Bwege ajiondoa ACT, atimkia CHADEMA

Bwege ajiondoa ACT, atimkia CHADEMA

ACT ya Zitto haijui inataka nn, Kapigwa nje ndani Kigoma mjini leo analia lia pamoja na kujigamba eti atalinda kura.
Watu wamelinda kura toka 1995 enzi za Nyatonga na CCM wakaiba live, uwe wewe?
 
Mwanasiasa machachari na aliyekuwa Mbunge wa Kilwa Kusini, Senior Selemani Said Ally Bungara, maarufu "Bwege," ametangaza rasmi kujivua uanachama wa chama cha ACT Wazalendo kuanzia jana, Februari 18, 2026.

Katika taarifa yake aliyoitoa kwa umma, Bwege ameeleza kuwa uamuzi huo umetokana na hiyari yake mwenyewe kama mtu huru, baada ya kutafakari kwa muda mrefu na kugundua kuwa ACT Wazalendo si "rafiki sahihi" katika safari yake ya kisiasa kama alivyokuwa amefikiria awali.

Bwege, ambaye anajulikana kwa msimamo wake thabiti na lugha za mvuto majukwaani, amebainisha kuwa mwelekeo wa sasa wa ACT Wazalendo ni tofauti na matarajio yake, jambo lililompelekea kuamua kutafuta jukwaa lingine la kuendeleza mapambano ya kisiasa.

“ACT Wazalendo si rafiki sahihi kwangu, nilivyofikiria ni tofauti na nilivyohisi. Kuanzia sasa mimi si mwanachama wa ACT Wazalendo tena kuanzia tarehe 18/2/2026. Mengine nitaongea baadaye. Ninategemea kushirikiana na kulitumia jukwaa la CHADEMA katika siasa za kudai demokrasia na maendeleo la taifa langu nilipendalo-Tanzania”, ameandika Bwege.

Karibu chama kubwa Bwege
 
Mzee KICHWA sana sana huyu 👏🙇‍♂️
 
Never trust muslim
 
Back
Top Bottom