Bwawani kununuliwa na wanablog?

houseboy

Member
Jul 22, 2007
39
3
Jamani bwawani hotel inapigwa bei kuna uwezekano wajanja wakainunua kwa bei ya kutupa kabisa ,ivi kama watu 300 tukichanga $3000.00 kila mtu si tunaweza kununua badala ya kuwachia wajanja ambao watainunua kwa dola laki moja au chini ya hapo ,kama watu tupo tayali tufanye mambo itakuwa ni kitega uchumi kizuri sana .
 
Bwawani hotel inauzwa dola laki moja?

Tanzania, nchi ambayo nyumba ya Idris Rashid inafanyiwa matengenezo kwa milioni 650 na bwawani inauzwa kwa .....

Never mind.
 
hii ndio TZ a.k.a Bongoland bana,hata mchange dola 10,000 kila mmoja hamtapata kwani hiyo tayari imeshapata wenyewe,
 
Jamani bwawani hotel inapigwa bei kuna uwezekano wajanja wakainunua kwa bei ya kutupa kabisa ,ivi kama watu 300 tukichanga $3000.00 kila mtu si tunaweza kununua badala ya kuwachia wajanja ambao watainunua kwa dola laki moja au chini ya hapo ,kama watu tupo tayali tufanye mambo itakuwa ni kitega uchumi kizuri sana .

kwa tarifa yako Bwawani tayari imesha uzwa ,siku hiyo itakuwa ni mnada wa wakumnadi mnunuzi ili watu washuhudie kukabidhiwa kwake .
 
Jamani bwawani hotel inapigwa bei kuna uwezekano wajanja wakainunua kwa bei ya kutupa kabisa ,ivi kama watu 300 tukichanga $3000.00 kila mtu si tunaweza kununua badala ya kuwachia wajanja ambao watainunua kwa dola laki moja au chini ya hapo ,kama watu tupo tayali tufanye mambo itakuwa ni kitega uchumi kizuri sana .

Tatizo hatuna soko la mtaji zenj.Zanzibar stock exchange probably au listing dar exchange ingeokoa jahazi fadhil karim.
 
Back
Top Bottom