Bwana yule alikuwa smart sana!

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
5,750
Reaction score
7,851
Kwema 'Directors'?

Kitendo cha Bwana yule kumzidi kete bosi wake wa wakati huo na kufanikiwa kupenya na kupeperusha bendera, kinaonesha Bwana yule alivyokuwa mjanja(smart)!

Ama kwa hakika, alikuwa jogoo la shamba lililowika mjini. Alikuwa mkulima aliyevimba mbele ya watoto wa mjini na kuwaonesha kuwa wao ni 'washamba' tu.

Huyo ndiye Bwana yule!!!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…