Da Womanizer
JF-Expert Member
- May 24, 2010
- 1,577
- 148
Arrhh, sasa hili nalo la kufunguliwa thread? we kama inakuuma funga safari ukampe hayo maombi au ushauri.
True hii ishu haitaji sredi maana iko wazi kuwa haikubaliki hata kidogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Arrhh, sasa hili nalo la kufunguliwa thread? we kama inakuuma funga safari ukampe hayo maombi au ushauri.
How are we gonna prove if your case story is true or fabricated? Something more of evidence to convince us, may be?Wakuu heshima mbele....
Jirani na ofisini kwetu, kuna bwana mmoja ana kampuni yake na ana wafanyakazi kadhaa anaowamiliki. Dada yake (wa mwisho kuzaliwa kwao) ni katibu muhtasi wake na ndio wenye kampuni hiyo..
Kibaya zaidi, hawa watu ni mwaka karibu wa 10 wanatembea (kumegana) Mwanamume ameachana na mke wake na wakagawana kila kitu mpaka nyumba! Watoto wake jamaa hataki hata kuwasikia na ni wakubwa (miaka 15 - 20) Baba yao alikuwa akipinga sana ujinga huu, lakini bahati mbaya alifariki miaka miwili iliyopita. Mama yao alikuwa akiwasapoti eti kwa sababu ya biashara. Nae amefariki mwaka jana. Hivi sasa wanaishi pamoja kama mume na mke. Jamani Wakuu hii mnaionaje?:crying:
Kwa nini isihitaji sredi? Haya mambo yanawekwa wazi ili watu wengine wajifunze kutokana na makosa ya watu wengine na vilevile tujue nini kinaendelea duniani.
True hii ishu haitaji sredi maana iko wazi kuwa haikubaliki hata kidogo.
Arrhh, sasa hili nalo la kufunguliwa thread? we kama inakuuma funga safari ukampe hayo maombi au ushauri.
Jamaa hawaoni wala hawasikii! Fikiria jamaa kapiga chini mke wa ndoa!
True hii ishu haitaji sredi maana iko wazi kuwa haikubaliki hata kidogo.
Mi siamini bana!
Si ndio hapo..mtu akijipalia makaa we shika jembe ukalime!
True hii ishu haitaji sredi maana iko wazi kuwa haikubaliki hata kidogo.
Kwa nini isihitaji sredi? Haya mambo yanawekwa wazi ili watu wengine wajifunze kutokana na makosa ya watu wengine na vilevile tujue nini kinaendelea duniani.
Dreamliner is this for real? REAL?FL1.. Ni balaa.. Mwanzoni tulifikiri ni uongo.. Lkn kila siku zinavyokwenda, mengi yanaonekana na kudhihirisha! Wana gari ambayo hakuna anaepanda zaidi yao.. Hupewi mtu lift hata iweje.