Bwana na Bibi ni mtu na Dada yake....

Dreamliner

JF-Expert Member
Jan 17, 2010
2,035
213
Wakuu heshima mbele....

Jirani na ofisini kwetu, kuna bwana mmoja ana kampuni yake na ana wafanyakazi kadhaa anaowamiliki. Dada yake (wa mwisho kuzaliwa kwao) ni katibu muhtasi wake na ndio wenye kampuni hiyo..

Kibaya zaidi, hawa watu ni mwaka karibu wa 10 wanatembea (kumegana) Mwanamume ameachana na mke wake na wakagawana kila kitu mpaka nyumba! Watoto wake jamaa hataki hata kuwasikia na ni wakubwa (miaka 15 - 20) Baba yao alikuwa akipinga sana ujinga huu, lakini bahati mbaya alifariki miaka miwili iliyopita. Mama yao alikuwa akiwasapoti eti kwa sababu ya biashara. Nae amefariki mwaka jana. Hivi sasa wanaishi pamoja kama mume na mke. Jamani Wakuu hii mnaionaje?:crying:
 
Si bure ni kalaana kabaya!:confused2:

Jamaa anaetoka mkoa mmoja na hao watu, anasema ni kwa sababu ya kuinua biashara. Ila masharti, ni lazima wote wawe na mamlaka sawa kwenye biashara... Balaa ajabu.. Dunia imefika KIKOMO.
 
..

Mama yao alikuwa akiwasapoti eti kwa sababu ya biashara. Nae amefariki mwaka jana. Hivi sasa wanaishi pamoja kama mume na mke. Jamani Wakuu hii mnaionaje?:crying:

Mmh! Kama mama alikuwa anasapoti.basi ndo mwenye siri ya biashara yao. Tatizo watu wengi wanafanya biashara kienyeji mno na kuweka ushirikina mbele kama ndo msingi wa kufanikiwa,ndo maana wengine wanaua mtoto wa kwanza au baba n.k. Hao ndugu wanastahili kushtakiwa kwa vile ni kosa la jinai kwa nugu wa damu kufanya tendo la ndoa.Kweli dunia tambala bovu!!
 
Wakuu heshima mbele....

Jirani na ofisini kwetu, kuna bwana mmoja ana kampuni yake na ana wafanyakazi kadhaa anaowamiliki. Dada yake (wa mwisho kuzaliwa kwao) ni katibu muhtasi wake na ndio wenye kampuni hiyo..

Kibaya zaidi, hawa watu ni mwaka karibu wa 10 wanatembea (kumegana) Mwanamume ameachana na mke wake na wakagawana kila kitu mpaka nyumba! Watoto wake jamaa hataki hata kuwasikia na ni wakubwa (miaka 15 - 20) Baba yao alikuwa akipinga sana ujinga huu, lakini bahati mbaya alifariki miaka miwili iliyopita. Mama yao alikuwa akiwasapoti eti kwa sababu ya biashara. Nae amefariki mwaka jana. Hivi sasa wanaishi pamoja kama mume na mke. Jamani Wakuu hii mnaionaje?:crying:

Pepo na liwatoke.Sodoma na Gomora.
 
NIlisha wahi kusikia hadithi ka hii kule Bukoba.... hiyo ni laana iliochangiwa na ushirikina sio bure mtu ukammege dada yako na ukaona powa tu kuna kitu tu hapo sio bure
 
Mmh! Kama mama alikuwa anasapoti.basi ndo mwenye siri ya biashara yao. Tatizo watu wengi wanafanya biashara kienyeji mno na kuweka ushirikina mbele kama ndo msingi wa kufanikiwa,ndo maana wengine wanaua mtoto wa kwanza au baba n.k. Hao ndugu wanastahili kushtakiwa kwa vile ni kosa la jinai kwa nugu wa damu kufanya tendo la ndoa.Kweli dunia tambala bovu!!

Juzi niliuliza uchawi ni nini. Watu wanafikia hatua ya kuua watoto wao ama mama au baba ili wapate fweza. Nyani Ngabu alisema hakuna kitu ka hicho na akasema mwenye uwezo na amloge. Imani ama masharti ya walozi yamefikisha jamii yetu pabaya sana. Hebu fikiria mtu anaenda kwa wanaojiita wataalamu eti sharti ni lazima afanye mapenzi na mama yake mzazi! Unaanzia wapi jamani? Utamwambiaje mama yako unataka hiyo kitu. Hizi ni laana. Laaaaaaaaaaaaana!
 
Hii ni laana ya kutisha god forbid :confused2:

FL1.. Ni balaa.. Mwanzoni tulifikiri ni uongo.. Lkn kila siku zinavyokwenda, mengi yanaonekana na kudhihirisha! Wana gari ambayo hakuna anaepanda zaidi yao.. Hupewi mtu lift hata iweje.
 
Kazi ya yule mwovu ni kuharibu tu. Naye siku zote anaanza kwa kufunga Malango. Mambo kama haya yanaweza kufunikwa kwa Damu ya Yesu tu.
 
Na ndugu zao wengine wanasemaje?I mean Kaka na dada zao waliozaliwa pamoja.Na huyo dada hana watoto?

1.Tunaemwona anakuja ofisini kwao ni dada mmoja nafikiri ni mkubwa wa huyo mke fake!. Lakini huja once in a while. Karibu hii miaka miwili hajaonekana.
2. Huyo Dada hana watoto, na inavyoelekea, sijui kama ataolewa. Jamaa anambana sawasawa! kuna Kijana alikuwa anamzengea wanafanya kazi pamoja. Alifukuzwa kazi na kusingiziwa ni mwizi.
 
Makubwa haya.God forbid.Wanatuletea mambo ya enzi za Adamu na Eva watu walipokuwa wachache.
 
Arrhh, sasa hili nalo la kufunguliwa thread? we kama inakuuma funga safari ukampe hayo maombi au ushauri.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom