Bwana harusi naye

Huyu atakuwa arsenal lazma, lol!

cc Mbu
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Mbu
......hahhaha, huo ni ujumbe tosha kwa bi harusi kwamba anapendwa mpira kwanza, mahaba niue uzeeni!

Ajiandae kunyang'anywa "rimoti" asiangalie Isidingo ila bwana aangalie premier league, UEFA, carling cup, Europa, World Cup, La liga na mazaga zaga mengine ya kimpira 24/7.....

Cc King'asti nawe ulivyomshabiki wa kuangalia sijui #DaysOfOurLives sijui #MariaClara , kununua Tv nyingine ndogo ya chumbani inahusu ktk ndoa hizi!


#MosKwito !
 
Last edited by a moderator:
hii kitu huitwa kimuhemuhe cha harusi,hapo akipelekwa kwenye 6*6 utakuta anaomba hafutaimu kinomaa

  • :der:
 
solution to a good marriage is two tvs, lol. mie naangalia chelsea na yeye aangalie mechi ya yanga.
 
Reactions: Mbu
hapana, sio mabingwa wa lolote. ila ni wanaume wavumilivu sana na wanafaa kwenye ndoa. manake arsenal wamefukuzia kombe miaka 9 etii, unaweza kufukuzia kipusa decade nzima?🙂🙂
Hahaha.....Kwamba ndio mabingwa wa mbwembwe sio...!!!
 
Bwana harusi ana brazukaaaaaaaaaaaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…