Bwana Harusi na Bi Harusi

Mtanzanika

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
2,389
1,131
Bwana harusi matata aliyeoa mke machachari na mrembo, walipofika nyumbani Bwana harusi alitoa kanuni zake za maisha yao mapya:

"Nitarudi nyumbani muda nitakao,nahitaji kupewa ninachotaka kutoka kwako muda wowote tena bila usumbufu,natarajia mlo wa jioni uwe tayari kwa wakati labda kama nitakwambia sili nyumbani siku hiyo.nikwenda kuangalia mpira, kucheza bao, kuvuta shisha au kucheza karata muda nitakao na marafiki zangu wa kitambo na sihitaji usumbufu wowote wala maswali kutoka kwako, HIzo ndo kanuni zangu …any comment?

Mkewe akajibu, "Sina komment,hilo halina shida kwangu ila tu uelewe kwamba patafanyika TENDO LA NDOA hapa kila saa MOJA kamili USIKU sitojali ni mwanaume gani atakayekuwepo muda huo"
 
kila saa moja jioni mbona sio ngumu kivile nitakuwa nawahi kila siku nampekecha, walahi atabadili mfumo mwenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom