Bwana harusi huyu kero !

Bwana harusi huyu kero !

Mu-Israeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2012
Posts
2,454
Reaction score
975
Hebu angalia huyu bwana-harusi, Kero sana, (angalia mkono wake wa kulia unafanya nini).

Ndoa.jpg
 
Inawezekana, ila bibi harusi akishtukia hiyo, mbona patachimbika hapo !

Hii inanikumbusha mwana JF mmoja ambaye huwa hana imani kabisa na wanaume!!
Hapa sasa ndio naona kama vile kuna ka-ukweli kwenye maoni yake. Sijui....
 
mkewe atakua pambo 2 ndani ya nyumba..

Mimi naona itabidi mipangilio ya harusi ibadilike siku hizi.
Yaani NO wasimamizi (No best man & No matron) ili kieleweke.
 
Nae huyo kwanini akae upande wa bwana harusi? ana lake jammbo
 
Back
Top Bottom