Bwana harusi anapobeba mzigo wake..........

Ninahisi bwana harusi ajua jioni wakati kila mmoja kaishia huenda naye akabebwa..............................kwa hiyo mambo siyo mabaya hata chembe..........lol
 
Namtaman huyo mke wake!!!!
 
ogopa kutamani utatamani jini kaka mwenzio ajui kunalalwaje usiku
 
Ndoa ina raha zake na karaha pia
 
Duh raha sana jamaa kaamua abebe kabisa wasije wakachakachua
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…