MERCIFUL
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 2,786
- 3,127
Haswaaa! Na hata kama ni karibu, basi maharusi wapewe nafasi jamani. Maana bi harusi unaweza jikuta unaanza na kibarua cha kuhudumia ndugu waliokuja kwenye harusi. Wakati mkiwa wenyewe mnaweza kuamua leo tusile, tulale tu...:tongue: All in all, ni habari ya kusikitisha, pole zao wafiwa na RIP marehemu.ndio maana honeymoon tunahimizwa twende mbali.........