Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 754
Sukari mpya au iliotumika?
mbavu sina jamaniwachaga awahaminiki unaweza kuta alikuwa anafanyia taimingi kwa mwanae.r.i.p. Mzee wetu
Mtu mmoja wa miaka 47 aliyejulikana kwa jina la Shirima mkazi wa Kibaha, amemuua baba yake mzazi anayekadiriwa kuwa na miaka 70 kwa kumpigarisasi iliyotoka kwenye SMG yake.
Inasemekana baba huyo alikua amelala nyumbani kwa mwanae na alitokea Moshi kwa mualiko wa harusi ya bwana Shirima ambayo ilikwisha fanyikana hapo bwana Shirima na mkewe walikua honeymoon hapo nyumbani kwao.
usiku wa jana baba yake alipatwa na haja ndogo akaenda chooni wakati anarudi akakosea mlango wa chumba chake na kuingia chumbani kwa mwanae ndipo mke wa Shirima aliposikia mlango unafunguliwa na mtu yupo ndani - akapiga kelele za mwizi hapo ndo mumewe akachukua short gun yake na kumlenga babake na kumuua akidhani ni mwizi.
Inasemekana makazi ya bwana Shirima mtaani kwao nyumba zipo mbalimbali ndo mana akachukua uamuzi wa kumimina risasa bila kuuliza hata swali moja kwa mvamizi huyo wa chumbani kwake.
Imenisikitisha sana habari hii, yamkini tuwe waangalifu kabla ya kuchukua uamuziwowote.
SOURCE WAPO RADIO ASUBUHI HII
still walilalaje bila kufunga mlango wa chumba chao wakati tayari walikuwa kwenye fungate? maswali ni mengi kuliko majibu iko kama ilipangwa. kama ni bahati mbaya kweli nampa pole maana haitomtoka.Ila na bwana harusi nae analala na smg chini ya mto au? Manake kusikia kelele tu za mkewe akashoot? Ina maana na baba hakutoa sauti yoyote wakamtambua? Nna maswali milioni!
Hiyo ni manslaughter, ameua bila kukusudia!!!! Ni bahati mbaya sana hii.
Tiba
Hiyo ni manslaughter, ameua bila kukusudia!!!! Ni bahati mbaya sana hii.
Tiba
Ok nimekupata BigBro mi bado nipo shule ya kata topic hiyo hatujaifikia
Mke wa Shirima aliposikia mlango unafunguliwa na mtu yupo ndani - akapiga kelele za mwizi hapo ndo mumewe akachukua short gun yake na kumlenga babake na kumuua akidhani ni mwizi.
SOURCE WAPO RADIO ASUBUHI HII