Haya sawa sawa. Yetu ni macho tu hapa. Dada wa watu kaachwa mataaSuala la kuolewa na miaka 16 sio la Kiislamu, ni suala la kisheria. Sheria ya ndoa inaruhusu binti wa hadi miaka 14, kwa ruhusa ya Mahakama.
Kama hao wazazi hawakupata kibalo cha mahakama kuruhusu hiyo ndoa, basi bwana harusi amefanya la maana sana. Kaepusha ubawa wake.
Vv
Ajui kubaka kwetu chin I yamiaka kumi kwingine ruksaSijui kwa nini amekimbia lakini dini yetu inaruhusu.
Mtalaamu umeona eeehh
Huyo bibi hapo pembeni hata haya hana kutaka kumwoza mtoto?????
Na husna kisa cha kukimbilia dushelele ni nini?
Na rahim bahati yako miaka 30 ingekuhusu
Kwa wataalam wa sheria hebu mtujuze sheria ya ndoa! Binti wa miaka 16 si anaruhusiwa kuolewa kama kwa utashi wake mwenyewe atakubali kufunga ndoa?
Labda kama ni mwanafunzi hapo kuna kuwa na kesi nyingine, ila kama si mwanafunzi nadhani sheria ya ndoa iliyopo sasa inaruhusu kwa huyo binti kuolewa!
Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
binti itakuwa alikataa shule kachagua dushe....
Bwanaharusi aliyetambulika kwa jina moja la RAHIM (miaka 30) ameshindwa kutokea ktk tukio linalomuhusu la kufunga kati yake na BI HUSNA (miaka 16)
Bwanaharusi huyo aliamua kuingia mitini baada ya kuhisi kwamba huenda aliandaliwa mtego wa kukatwa na kufunguliwa kesi ya ubakaji kwa kumuoa binti wa miaka 16 ambapo kwa mujibu wa sheria za Tanzania binti wa miaka 16 anahesabiw kuwa bado ni mtoto asiyeweza kufanya maamuzi makubwa kama hayo.
Hongereni sana watu wa kutetea haki za kinamama na watoto kwa kuandaa mtego huo.
Mtoto HUSNA (miaka 16) akiwa analia baada ya kidume ,,RAHIM, (miaka 30) kuto onekana siku ya tukio. mama yake akiwa anamfariji.
Kwa mujibu wa sheria ya ndoa ya mwaka 1977, hata angekuwa na miaka 14 na ameridhia pamoja na wazazi wake haina shida. Lakini kama kweli ni mwanafunzi kuna sheria nyingine inamzuia kabisa kuolewa.