BWANA Ametutoa Mbali Saaana

Najuwa wewe si mjinga kihivyo lakini hata ukikaa na kufikiri kichwani mwako, masuala ya Obama huko Marekani yanakuhusu wewe nini as a Tanzanian? Humpigii kura na hana mpango na nchi yako bado tu unataka kujipendekeza?

Asilimia zaidi ya 60 ya bajeti yetu inategemea wafadhili, na mfadhili mkubwa ni USA.
Maana yake ni kuwa sehemu ya hizo nguo ulizovaa ni wafadhili !
 
We mpuuzi kweli, usiwe mjinga wa kubeza vitu bila kujuwa. Nani aliyekuambia wafadhili wakubwa wa bajeti yetu ni wamarekani? Ndiyo tunategemea sana wafadhili lakini wamarekani siyo biggest donors wetu, acha mambo ya kuhisi. Kwanza sinunui nguo eti kwa sababu ni za Marekani, usiwe mpuuzi wa kupenda kulazimisha vitu visivyo kuhusu kwani hata wao wamarekani watakucheka. Miaka ya 80 mwishoni Tanzania tulikuwa na stamps za Michael Jackson dunia yote ikatucheka kwa ujinga huu, leo hii mnataka kumshabikia Obama for what reason? Umejiuliza what has he done for Africa since his election? Yote hii ni politics na HAWEZI fanya lolote for wewe or Kikwete hivyo kula ugali wako utizame yanayokuhusu. Ya Obama waachie wenyewe wamarekani.
 
Kumbe Tanzania ina wabwia unga wengi sana, mpaka kwenye JF !
Look at yourself, jitafakari kama uko sawa
 
Kawaida mbwia unga huwa na hasira muda wote maana hataki kuambiwa ukweli kuhusu kuacha unga kwani anaona unga ndiyo maendeleo yake kama uonavyo wewe. Mbwia unga ataongea na kutetea hoja hata kama ni za kijinga (anazosikia vijiweni bila kusoma) ili mradi tu kaongea kama ufanyavyo wewe. Mimi nilikuwa nafanya kazi UNDP Kigoma miaka ya 90 katikati hadi mwishoni na kazi yangu ilikuwa ni bwana maendeleo (nakusanya data na kufanya utafiti baadhi ya vitu ambavyo UN wanataka kuvijua), hivyo basi siongei porojo kama wewe huwa nina data ninazo base when pointing out the obvious. Soma basi hii article, tena vizuri kisha uniambie wapi Marekani imeandikwa kuwa biggest aid donors wa Tanzania. Usijichanganye akili kuona Obama ni mweusi basi ukahisi anasaidia Afrika zaidi, acha ujinga rudi shule.

Tanzania to get 383.45€ mln from donors for budget

* Donors to give Tanzania <ccc title="">383.45&#8364;</ccc> mln for budget
* Warn future aid at risk from corruption
* Demand action on reports of funds misuse
DAR ES SALAAM, May 11 (Reuters) - Donors have pledged to
increase aid to Tanzania to <ccc title="">383.45&#8364;</ccc> million for its 2012/13 budget
but warned future disbursements could depend on how it tackled
corruption and misuse of public funds
icon1.png
.

The east African nation of 42 million people is among the
continent's biggest per capita aid recipients. Donors
contributed almost 29 percent of its 2011/12 budget and they are
an important source of hard currency.
"Clear results in the fight against corruption are crucial
for economic and social development in Tanzania," a group of
donors said in a statement on Thursday.
"Over the coming year continued and strong attention will be
paid to the way public finances
icon1.png
are spent by closely monitoring
how the findings in the latest Controller and Auditor General's
annual report are being acted upon."
The nation received <ccc title="">350.92&#8364;</ccc> million of aid for its 2011/12
budget, but the government's medium-term goal is to cut donor
dependency in its budget to just 10 percent.
Donors that provide general budget support to Tanzania
include the African Development Bank, Canada, Denmark, the
European Union, Finland, Germany, Ireland, Japan, Norway,
Sweden, Britain and the World Bank
icon1.png
.

They said more than half of the funds would be disbursed in
the first quarter of the next financial
icon1.png
year to boost government
spending in development projects.
President Jakaya Kikwete sacked six senior ministers this
month, including the finance minister, after a report by the
government's chief auditor exposed widespread misuse of funds in
ministries and public institutions.
(Reporting by Fumbuka Ng'wanakilala; Editing by Duncan Miriri)

Tanzania to get 383.45&#8364; mln from donors for budget

Soma kichwa cha mada ya topic na uelewe.
Halafu hapo kwenye red siamini maana una upeo finyu sssaana, labda kazi za kupeana.
Ingekuwa ni mtihani umeshafeli maana unakurupuka kujibu kabla hujasoma headings.
 
We mpuuzi kweli, usiwe mjinga wa kubeza vitu bila kujuwa. Nani aliyekuambia wafadhili wakubwa wa bajeti yetu ni wamarekani? Ndiyo tunategemea sana wafadhili lakini wamarekani siyo biggest donors wetu, acha mambo ya kuhisi. Kwanza sinunui nguo eti kwa sababu ni za Marekani, usiwe mpuuzi wa kupenda kulazimisha vitu visivyo kuhusu kwani hata wao wamarekani watakucheka. Miaka ya 80 mwishoni Tanzania tulikuwa na stamps za Michael Jackson dunia yote ikatucheka kwa ujinga huu, leo hii mnataka kumshabikia Obama for what reason? Umejiuliza what has he done for Africa since his election? Yote hii ni politics na HAWEZI fanya lolote for wewe or Kikwete hivyo kula ugali wako utizame yanayokuhusu. Ya Obama waachie wenyewe wamarekani.

Acha hasira !
Soma kichwa cha mada.
Halafu hapa sio jukwaa la uchumi.
Mada ni nzuri na inatupa taswira na maana kubwa sana kuhusu maisha in general !
 
Back
Top Bottom