njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 12,366
- 5,495
Pole mkuu umeguswa sana eeh? Zangu zipo home kwa mama.
Ahsante , basi za kwake pia zipo home! nimeguswa sababu aim Tanzanian & you are insulting My president
Pole mkuu umeguswa sana eeh? Zangu zipo home kwa mama.
Wekeni vitu vinavyotuhusu.
Ziliwekwa kipindi fulani alikuwa mpulizaji ile mbaya!.Wekeni na pics za utotoni za Mkuu wa kaya.
Ahsante , basi za kwake pia zipo home! nimeguswa sababu aim Tanzanian & you are insulting My president
I insulted nobody Mkuu.
Don't take things so seriouly.
Huyo mwenye fulana ni Dwayne Wade au?
Ahsante , basi za kwake pia zipo home! nimeguswa sababu aim Tanzanian & you are insulting My president
Hukuna picha zake za utotoni. Ameanza kupiga picha alipokuwa chuo kikuu ndio maana anapenda sana kupiga picha uzeeni.
ame insult vipi? kwa kuomba picha?
Wekeni na pics za utotoni za Mkuu wa kaya.
usiombe league ambayo huewezi ... potezea tu