karibia unapatia, endelea kidogo, maana unajimu uchwara huanza kama wako, ili reaction ya kidume iwe kukataa, sikatai wala sikubali, na mbaya zaidi sidanganyiki

Karibu sana jamvini,ila huyo bwana aliyekutuma tuna wasi wasi nae sana,hata sielewi alikutuma kuja hapa jf kufanya nini?can u tell me hasa umetumwa kufanya nini hapa?