Bwa Chuchu na misemo yake

Bwa Chuchu na misemo yake

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,744
Reaction score
37,283
Sina taarifa naye ila huyu jamaa alitamba sana sana kwenye kundi la chuchu sound kwa jina la bwa chuchu.

Misemo iliyotumika kwenye nyimbo
"Nimekalia bigijiii unataka ni kuband...."

Hivi yupo kweli huyu?
 
[emoji41][emoji41][emoji41]Bwa Nchuchu Mizinguo sana.

Mbunge wetu wamembandua
Mtoto unachezea koki, utalowa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom