Naomba kuchukua nafasi hii kuitaarifu Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi kuwa makini na ubora wa mashine maalumu za BVR zitakazotumika kwenye zoezi zima la uandikishaji na uchaguzi.
Katika uchaguzi mkuu wa leo nchini Nigeria, Rais anayewania muhula wa pili Bwana Goodluck Jonathan mashine ilikataa kumtambua mara tatu kabla ya kufanikiwa.
Hali hii inaweza kupelekea upotezaji wa muda na hofu kwa mhusika, Kwa hiyo Wajipange Kweli Kweli!
Inasemekana kakaa kituoni dakika 50! Kisha mchakato wenyewe ni mrefu, unatambuliwa na baadaye unarudi kuja kupiga kura. Yeye alitakiwa kurudi saa saba kupiga kura! Wametayarisha maji na sabuni kuwanawisha wapiga kura! Hapa kwetu itakuwa kazi kweli kweli.Naomba kuchukua nafasi hii kuitaarifu Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi kuwa makini na ubora wa mashine maalumu za BVR zitakazotumika kwenye zoezi zima la uandikishaji na uchaguzi.
Katika uchaguzi mkuu wa leo nchini Nigeria, Rais anayewania muhula wa pili Bwana Goodluck Jonathan mashine ilikataa kumtambua mara tatu kabla ya kufanikiwa.
Hali hii inaweza kupelekea upotezaji wa muda na hofu kwa mhusika, Kwa hiyo Wajipange Kweli Kweli!
Duh inamkataa rais, hiyo ni dalili hata wananchi watamktaa!
Naomba kuchukua nafasi hii kuitaarifu Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi kuwa makini na ubora wa mashine maalumu za BVR zitakazotumika kwenye zoezi zima la uandikishaji na uchaguzi.
Katika uchaguzi mkuu wa leo nchini Nigeria, Rais anayewania muhula wa pili Bwana Goodluck Jonathan mashine ilikataa kumtambua mara tatu kabla ya kufanikiwa.
Hali hii inaweza kupelekea upotezaji wa muda na hofu kwa mhusika, Kwa hiyo Wajipange Kweli Kweli!
Wanigeria na tecnolojia yao yote bado wanahangaishwa na Bvr, je kwa sie wa kuunga unga Si itakua majanga.!!