Hivi Slaa ana hitaji nini? Anataka tutumie daftari la zamani?Mbona Mnyika na Mbowe wameu penda mfumo na kuhimiza wananchi kujitokeza?
Slaa tunaomba uoneshe huo ufisadi sio kuongea tuu!
wa LUMUMBA wameanza kuingia kwa kunusanusaKwani Babu slaa kasharudi kutoka fungate,?
Ukilinganisha na ya Prof.JK ipi iko vizuri?Slaa hata ukimuangalia afya yake mgogoro
Mkuu vifaa vimeingia vingi sana mda nao bado upo wa kutosha kumbuka upigaji kura ni mwezi wa kumi kwahiyo bado tunamda wa kutosha kabisa hili zoezi litakamilika ninavyoamini,Sawa, lkn kwa kutumia akili yako ya kuzaliwa wewe unaona hili linawezekana kwa muda uliobaki???
Slaa amezeeka vibaya, mchumba wake anampa stress
Watanzania wamechoshwa na ufisadi. Ni wakati sasa wananchi kuikabidhi Ikulu chadema.
Watanzania wengi wamempachika jina la Nyerere wa Pili
Nyerere hakuwahi kuwa mzinzi acha porojo zako za ufipa,
Katika watu wasiokuwa na faida kwenye taifa hili basi ni mzee slaa yeye kazi yake ni kulalamika tu sijui karogwa na nani hana jema yeye kazi anayoweza ni kukusanya akina mama tu.
Dr Slaa katufumbua macho leo.
Katika watu wasiokuwa na faida kwenye taifa hili basi ni mzee slaa yeye kazi yake ni kulalamika tu sijui karogwa na nani hana jema yeye kazi anayoweza ni kukusanya akina mama tu.