Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,057
- 74,790
Ndugu ushaamka, hebu changia hoja acha taarab wewe.
Hivi humjui huyo? Huyo tulishampitisha bila kupingwa kama MTU mwenye kuongoza kwa IQ ndogo hapa JF
Ndugu ushaamka, hebu changia hoja acha taarab wewe.
Slaa huwa simchukulii serious, huwa namuona kama kituko tu!
Mkuu vifaa vimeingia vingi sana mda nao bado upo wa kutosha kumbuka upigaji kura ni mwezi wa kumi kwahiyo bado tunamda wa kutosha kabisa hili zoezi litakamilika ninavyoamini,
Lakini huyu mzee anavyokaa anasema ufisadi kila siku bila kuonesha huo ufisadi ni upi kwa ushahidi huoni kuwa huyu mzee anautapeli ndani yake.
Amesahau alijikopesha hela ya chama Tshs.120,000,000 akanunua nyumba anaoishi sasaSlaa, ufisadi kwa porojo tu bila ushahidi?
Kila anaepingana na nyie hajitambui,msaka tonge,msaliti ni hatari sana mkichukua dola mtaogopa hata vivuliHujitambui wewe kichwani ni sawa na sifuri
Unataka ushahidi gani hapa,rejea epa,rada,escrow na no utaona mwenyewe haya mambo mkuu.Slaa, ufisadi kwa porojo tu bila ushahidi?
Unataka ushahidi gani hapa,rejea epa,rada,escrow na no utaona mwenyewe haya mambo mkuu.
Yote hayo bila ya Kikwete ungeyajuwa? yote uliyoyataja ni madudu aliyoyarithi Kikwete kutoka awamu zilizopita na kayashughulikia ipasavyo.
Huyajuwi hayo?
Nn ameshugulikia kuna aliye filisiwa,aliyenyongwa au hata hukumu ya mwezi mmoja,km sio kuunda tume tu zisizo na tija kwa watz?
USA kutumia au kutokutumia BVR haina maana na sisi tusitumie.
Slaa atembelee hapa aone BVR kuwa ni teknolojia ambayo inaweza kuingizwa wakati wowote kwenye system za kielektroniki zilizopo sasa USA na si kituko kama anavyotaka kuidanganya misukule.
Pia ajionee ni nchi ngapi duniani tayari zina BVR.
Biometric Registration system kama teknoloji inatumika sehemu nyingi sana USA na si lazima iwe imeshaanza kutumika kwa wapiga kura.
Kwetu Tanzania pia kuanza kutumika BVR kwa kusajili wapiga kura ni hatua nzuri na si sisi pekee waliochukuwa hatua hiyo, kuna nchi nyingi sana tayari zimeshaanza kabla yetu.
Hivi Slaa alikuwa hayajui hayo kabla ya kwenda USA? makubwa.
Slaa na misukule yako pitieni hapa kwenye tovuti ya IFES muelewe BVR ni nini, wacheni kiherehere: IFES - IFES Supports New Biometric Voter Registration System in Yemen
Unatoa mfano wa nchi yenye machafuko??