BVR Kit Operators na Waandishi Wasaidizi

BVR Kit Operators na Waandishi Wasaidizi

Jamani majina ya walofanyiwa usaili yametoka na yameandikwa kwenye ofisi ya mtendaji kwenye Kata husika
Hivyo fika mapema kwa ajili ya kusign your place unless otherwise kwenye jina lako atapachikwa mtu
Mfanye hima yamebandikwa Leo


More info ni- pm

Sijaelewa apo
kuna kusign tena, kwa iyo usipoenda kusign inakuaje
 
Usipoenda kusign INA maana hujafika kureport kwa hiyo nafasi ya jina lako inakabidhiwa kwa mtu mwingine
Sa hapo inakuwa umechezea shillingi kwenye shimo LA choo
Fanya tu uende ukasign mkuu
 
Nawatakia kila la kheri katika kazi yenu hii mpya.
 
wewe usijidanganye eti kesho ni public holiday, jina langu lipo na nimeambiwa kwa utaratibu zaidi niende kesho
 
kwan wanalipa tsh. ngapi vile jaman kwa anaejua...!!??
 
Kwa wale walioomba Mabibo majina yametoka. Tarehe 13-14 ni seminar pale NIT.
 
Angalia majina ya Kata ya Mabibo hapa...
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    297.6 KB · Views: 223
  • image.jpg
    image.jpg
    546.1 KB · Views: 236
  • image.jpg
    image.jpg
    482.7 KB · Views: 223
Kinondoni nenda viwanja vua Biafra ulizia office za afisa mtendaji
Umefika
 
Ingekuwa inakuhusu ungeielewa ndugu yangu
Kwa inayowahusu wataenda ndugu
Au nipm

Kwanza ni mkoa gani huo? Au unadhani watu wote humu wapo huko uliko? Kazi yenyewe michosho tu kwanza na malipo kiduchu.

Mimi niliomba kata ya makumbusho lakini waliojitokeza kwenye usaili kwa makumbusho ni wengi na wengi wamefaulu so tuka ambiwa makumbusho wamejaa tutawekwa kwenye kata nyengine yeyote itakao kuwa na watu wachache kama vile hananasifu na tandale kwa jimbo la kinondoni.Sasa kama majina yamebandikwa nikaangalie kata gani wana JF

Msaada wenu tafadhali

Huko kwenu malipo ni kiasi gani per day ??
 
We Kata gani mkuu
unaweza pata ndio
 
Malipo kwa seminar au malipo kwenye uandikishaji kwa siku
Funguka mkuu
 
Vyote mkuu Malipo kwa seminar na malipo kwenye uandikishaji kwa siku.
Kwani huwa wanalipa kwa siku au kwa muda gani?
 
Back
Top Bottom