BVR Kit Operators na Waandishi Wasaidizi

BVR Kit Operators na Waandishi Wasaidizi

mafuru

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2014
Posts
379
Reaction score
38
Jamani majina ya walofanyiwa usaili yametoka na yameandikwa kwenye ofisi ya mtendaji kwenye Kata husika hivyo fika mapema kwa ajili ya kusign your place unless otherwise kwenye jina lako atapachikwa mtu.

Mfanye hima yamebandikwa Leo!

 
Kwanza ni mkoa gani huo? Au unadhani watu wote humu wapo huko uliko? Kazi yenyewe michosho tu kwanza na malipo kiduchu.
 
Mimi niliomba kata ya makumbusho lakini waliojitokeza kwenye usaili kwa makumbusho ni wengi na wengi wamefaulu so tuka ambiwa makumbusho wamejaa tutawekwa kwenye kata nyengine yeyote itakao kuwa na watu wachache kama vile hananasifu na tandale kwa jimbo la kinondoni.

Sasa kama majina yamebandikwa nikaangalie kata gani wana JF

Msaada wenu tafadhali
 
Mkoa ni dar
Na kama unaona malipo ni hafifu acha tu mkuu
Not compulsory kufanya this public task
 
Nenda kwenye Kata yako uloombea then ukifika pale ukiona jina lako hulioni basi ndo uwaulizie wakwambie
What should you do rahma
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ni kwa manispaa ya kinondoni ndo wamebandika leo asubuhi
 
Manispaa nyingine sina habari nazo kiukweli mkuu
 
Mbona maelezo unatoa kichoyo choyo sana mkuu!

Hata ofisi ya mtendaji wa kata dsm hazifahamiki na wengi!
 
Mkuu nimepata we acha tu kaka
Alhambdulillah
🙏🙏🙏😀....nimeshukuru sana mkuu
 
Jamani mbona kuna mwenzangu ametoka sasa hivi kata ya makumbusho ameambiwa wanabandika kesho
 
Nenda kwenye Kata yako uloombea then ukifika pale ukiona jina lako hulioni basi ndo uwaulizie wakwambie
What should you do rahma

What should you do rahma. Mmh! Hiki kiinglish hiki.
 
Last edited by a moderator:
Hao afisa mtendaji wao mzembe wengine wamepewa jana manispaa na leo wamebandika katani
Na ukumbuke kesho ni public holiday office hazitafunguliwa
So kuhusu kesho ni uongo hapo ni mpaka jumatano rahma
 
Last edited by a moderator:
Kash umeelewa au hujaelewa
Mbona hivyo lakini
 
Sorry sijakuelewa.Mimi nina kadi ya kupiga kura sasa hiyo habari ya kwenda ofisi ya kata nikafanye nini.Unadhani wote hawana kazi kama wewe.
Itakuwa haikuhusu..!
 
Bora umwambie wewe kaka maana nimemwambia ila hanielewi Jaslaws
 
Last edited by a moderator:
Ni kutegemeana na ukubwa wa Kata yenu
Kwa mfano Sie huku Kwetu ni 33 tu ndo tumechaguliwa
Ila kwa Kata nyingine kama kunduchi wamechaguliwa 60
Vipi wewe umechaguliwa mkuu????
 
Back
Top Bottom